Office Shirts For Men
Office Shirts For Men
Seller offers delivery
Karibu Eagle Collection tunauza nguo za kike na za kiume zenye ubora wa hali ya juu, nguo zetu zinatoka Nchini uturuki na italia ni nzuri sana na tunauza kwa bei nafuu. Kwa wateja mlio nje ya Dar es salaam utatumiwa mzigo wako na kwa wateja wa Dar es salaam tunakuletea mzigo wako mahali ulipo utachangia gharama ya usafiri kulingana na umbali unapopokelea mzigo wako.
Details
Price negotiableYesConditionNew
Description
Jipatie mashati mazuri kutoka Nchini Turkey na Italy, Mashati haya yametengenezwa kwa pamba, bei zetu ni rafiki sana na utaletewa mahali ulipo.




0 comments :